P.SQUARE WAKANUSHA KUTOA WIMBO MPYA WA ''SOMETHING ABOUT YOU''
Baada ya siku chache tangu wimbo mpya unaonekana kuwa wa kundi la
P-Square kusambaa mtandaoni na mashabiki kuupenda, wasanii hao
wamekanusha kuwa sio wimbo wao.
Wimbo huo ambao ni kweli una sauti kama zao, unaitwa Something About
You. Pacha wa kundi hilo ambalo litakuja kutumbuiza nchini mwezi ujao,
Peter Okoye amekuwa akiwaeleza mashabiki wengi wanaomuuliza kuhusu wimbo
huo kuwa sio wao.
No comments:
Post a Comment