KHADIJA KOPA
Mfalme wa Taarab ‘Mzee
Yusuf’ na bendi yake ya Jahazi Modern Taarab watakutana na Malkia wa Taarab bi
Khadija Omar Kopa kuwapa burudani wakazi wa Tanga jumamosi hii (November 23)
kwenye tamasha la Mitikisiko ya Pwani 2013 linaloandaliwa na 100.5 Times fm.
No comments:
Post a Comment