HILI NDIO GARI JIPYA LA OMMY DIMPONZ
Ommy Dimpoz na kitu kipya, aonesha gari lake jipya 'Toyota Mark X'
linalokadiriwa kugharimu zaidi ya million 22 likiwa halina hata namba bado halijasajiriwa leo limekatiza maeneo ya Jaffarai Car Wash
maeneo ya Mikocheni kuwekwa usafi zaidi
No comments:
Post a Comment