AKIZUNGUMZA
KATIKA KIPINDI CHA MITIKISIKO YA PWANI
KINACHOTANGAZWA NA DIDA REDIO TIMES ALISEMA KWAMBA KWELI ALIKUWA ANATAKA
KUHAMIA BENDI YA TOT LAKINI HAWAKUFIKIANA MKATABA NA HATA YEYE MWENYEWE
AKAFIKIRIA KUHAMA BENDI YAKE WAKATI HANA HATA MATATIZO NAYE KUANZIA MKURUGENZI
WAKE MAJALIWA HADI WAIMBAJI WENZAKE.
HANIFA KWA
SASA ANATAMBA NA NYIMBO YAKE YA MAKAVU
LIVE,NA HIVI KARIBUNI ANATARAJIA KUTOWA NYIMBO YAKE MPYA ITWAYO NIMEUTEKA MTAA.
No comments:
Post a Comment