Thursday, 17 October 2013

MMOJA KATI YA WASANII WA KIMATAIFA WATAKAO PAFORM FIESTA DAR ES SALAAM

leo October 17 2013 ametajwa mmoja kati ya wasanii wa kimataifa watakaoonekana kwenye stage ya Fiesta 2013 Leaders Club.
Taarifa inasemekana kwamba  ni wasanii wa nne wa kimataifa wataonekana kwenye Serengeti Fiesta Dar es Salam , yani wanne kutoka nje ya Tanzania.

Wa kwanza ametajwa leo ambae ni Davido kutoka Nigeria, staa ambae anaongoza  Afrika kutokana na hits zake… wakati tukisubiri staa mwingine kutajwa kesho kupitia Clouds FM.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...