ANGALIA JEURI ZA P-SQUARE KUWEKA MASOFA YA DHAHABU NDANI YA NYUMBA YAO
Hakuna ubishi kuwa, kwa hiki
walichokifanya sasa, na kama macho yetu hayatudanganyi kwa hiki
yanayokiona, mapacha hawa wamefanya kufuru. Kama hii inayoonekana ni
dhahabu kweli, basi P-Square, hela wanayo.
No comments:
Post a Comment