Tuesday, 12 November 2013

WATU WALIVOJITOKEZA KUMZIKA NYAWANA HAPO JANA NYUMBANI KWAO MAGOMENI

MWILI WA MAREHEMU ULIPOTOKA KUSWALIWA MSIKITINI

BAADHI YA WATANGAZAJI WA TAARABU WALIKUWEPO






MUME WA MAREHEMU KAISI MUSA KAISI

KUSHOTO MTANGAZAJI MWENZAKE NYAWANA ANETH NYONI,KATIKATI MAMA ASHA BARAKA NA KULIA NI LUIZA MBUTU

MAREHEMU ATAZIKWA LEO HUKO TABORA SAA SABA MCHANA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...