Monday, 21 October 2013

UJUMBE WA DIAMOND KWENDA KWA MSICHANA ALIYESHOOT NAE VIDEO YAKE YA KWANZA YA ''NENDA KAMWAMBIE''


SPECIAL THANX TO MY FIRST VIDEO VIXEN

Kitu ambacho siku zote siwezi kukisahau katika
harakati na siku za Maisha yangu ni jinsi dada
 wa kwanza nilivyomfata na kumuomba kushoot video na mimi
akasema "Siwezi kushoot Video na Ma undergeound" Dah! Iliniuma saaana... Lakini
 wewe kwa moyo mmoja bila maringo uliamua kunisaidia
 na kukubali kushoot video na mimi na
 hatimaye ikaniweka kwenye Ramani... dah! siku zote huwa
nakushkuru na kukuombea sana
 kwa mwenyezi mungu kwani naamini wewe ni
 mmoja ya watu waliofanya hadi mimi kufika hapa... MyVideo Queen Nenda Kamwambie #BestSongofTheYear2009  BestRnBSongof TheYear2009

hii ndo video yenyewe


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...