Mwimbaji
marufu wa Taarabu nchini Malkia wa Mipasho Khadija Omari kopa asmema kwamba
baada ya kutoka Eda wanaume wanazidi kumsumbua kwa kutaka kumuowa.
Akizungumza
moja katika Redio marufu Times Fm katika kipindi cha Mitikisiko ya Pwani
kinachotangazwa n( Dida) alisema Khadija kwamba
“Tangia
nitoke Eda wanaume wanazidi kunisumbua kwa kunitaka kuniowa kwa njia mbalimbali
lakini bado sijafikiria swala hilo kwani hawezi kupata mwanaume kama mumewe
wanaume wengi magumegume watamlia tu pesa zake”Alisema Khadija Kopa
No comments:
Post a Comment